YESU NI JIBU

Jumapili, 5 Julai 2015

VIWANJA VYA JANGWANI MOTO WA INJILI INAENDELEA KATIKA MKUTANO AMBAO UMEANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA.

Mkutano unaoendelea katika viwanja vya jangwani Mungu amekutana na matatizo na magonjwa mbalimbali ya watu ambao wamehudhuria katika viwanja hivyo.

Aidha katika mkutano huo wa siku nane watu wengi walishuhudia kufunguliwa na wengine kupokea uponyaji kupitia wapo redio ambyo imekuwa ikirusha matangazo hayo moja kwa moja kutoka katika viwanja hivyo vilivyoko jijini Dar es salaam.
Mkutano huo umeandaliwa na umoja wa makanisa ya Dar es salaam na kuhudhuriwa na waumini wa makanisa hayo pamoja na wachungaji mbalimbali.
Watumishi mbalimbali walihudhuria na kuhudumu katika mkutano huo ambao kila siku maombi na maombezi hufanyika kwa ajili ya kuliombea amani Taifa na uchaguzi mkuu wa octoba mwaka huu.










Watu wenye shida mbalimbali wamefika katika viwanja hivyo kupata huduma ya maombi na maombezi.




Waimbaji mbalimbali wahudumu katika mkutano huo wa siku nane

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni