YESU NI JIBU

Alhamisi, 9 Julai 2015

MAZISHI YA ASKOFU JOHN KOMANYA

Baadhi ya watumishi ambao wamehudhuria katika msiba wa aliyekuwa mwanzilishi wa huduma ya Cathederal of Joy askofu John Komanya.







 
Mchungaji Antony Lusekelo akiwa siku ya mazishi.











Mtume Dastan Maboya akizungumza katika mazishi.





Waombolezaji wakiwa kanisani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni