YESU NI JIBU

Jumatatu, 28 Machi 2016

APOSTLE DR LIVINGSTONE AKIWAA BADO AUSTRALIA

https://www.facebook.com/apostle.banjagala/videos/1043718052333481/

https://www.facebook.com/kelly.jones.3344913/videos/10153761198449191/

MWENYE MACHO NA MASIKIO ASIKIE NA KUFAHAMU KUWA ULIMWENGU UNAELEKEA UKINGONI:


Ni nyakati ambazo kila mwanadamu anatakiwa kuwa makini na kuangalia kinachoendelea katika ulimwengu wa mwili na hata wa roho.
Katika ulimwengu tunamoishi kwa sasa kuna mambo mengi yanaibuka kila kukicha ambapo wanadamu wengi wanajiita mungu na wengine wameanza kuabudiwa lakini mwisho wake wanakufa na kupoteza maisha jambo ambalo kwa wengi wenye imani ya kweli hufahamu na kutambua kuwa ni nyakati za mwisho.

AUSTRALIA HAITAKUWA KAMA HAPO AWALI NI KAULI YAKE DR LIVINGSTONE:

Mchungaji kiongozi wa kanisa la City Haverst Internationa Mtume Dr livingstone Banjagala amewaongoza waumini wa taifa la Australia katika maombi na kuwafungua kwa jina la Yesu Kristo mtenda maajabu na miujiza.




MWANAMKE AMTOA MTOTO WAKE SADAKA KWENYE IBADA YA PASSAKA:



Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika ibada ya pasaka  mama mmoja amtoa sadaka mtoto wake,
Tukio hili limekuwa la kipekee ambalo limeafutia waumini waliohudhuria katika ibada ya pasaka katika kanisa EAGT Sengerema kama unavyomuona kwenye kapu la sadaka,
Ni katika ibada ya Jpili ya PASAKA kanisa la EAGT Sengerema ambapo Mwnjlst George Banali  alihudumu, Ujumbe KuTOKEWA NA BWANA YESU, baada ya kufufuka kwake.

kama alivyoandika mwinjilisti GB katika ukurasa wake wa Facebook

YEYOTE ATAKAYE KIMBILIA KWENYE VYOMBO VYA DOLA KULISHITAKI KANISA ATAONA CHA MOTO:


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema mkoa wake hauko salama kama watu wanavyodhani kwa sababu silaha nyingi zinamilikiwa kiholela na mafunzo ya matumizi ya silaha hizo hutolewa hata kwa watoto.

Makonda alisema hayo wakati wa ibada ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano na kuwataka wakazi wa Dar es Salaam kujitokeza kuhakiki silaha zao na kusalimisha zile zinazomilikiwa kinyume cha sheria.

Alisisitiza kwamba ifikapo Julai Mosi, operesheni maalumu ya kukamata silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria itaanza na yeye mwenyewe ndiye atakayeiongoza.

ASKOFU AWATAKA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI KUSISALIMISHA WENYEWE BAADALA YA KUSUBIRI KUONDOLEWA:


Wahujumu uchumi, mafisadi na wote wanaokiuka viapo vyao wametakiwa kujitumbua majipu wenyewe badala ya kusubiri Rais John Magufuli, kwa kuungama kwa viongozi wao wa dini ili kusafisha nafsi zao.

Ushauri huo ulitolewa  na Paroko wa Kanisa Katoliki mjini Mugumu wilayani Serengeti, Alois Magabe wakati wa ibada ya mkesha wa Pasaka.

“Hawa watu wanapaswa kumpata Mungu kwa kuungama kwa sababu matendo yao siyo tu dhambi, bali yana madhara na udhalimu kwa umma kijamii, kiuchumi na hata kisiasa,” alisema Padri Magabe na kuongeza:

TAMASHA LA PASAKA SAMBAMABA NA UZINDUZI WA ALBAM YA GOODLUCK GOZBERT LAPAGAWISHA MASHABIKI WA MUZIKI WA INJILI CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizindua rasmi albam mpya ya mwimbaji Goodluck wakati wa tamasha la Pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mwanza , Wabunge pamoja na Maaskofu wa makanisa ya Mwanza.
Tamasha hilo ambalo limehudhuriwa na mashabiki wengi mkoani humo limetumbuizwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili kutoka hapa nchini na nchi jirani za Zambia na Kenya, waimbaji hao ni Upendo Nkone , Martha baraka , Jesca BM, Joshua Mlelwa , Tumsifu Rufutu, Christopher Mwahangila, Jeniffer Mgendi, Bonny Mwaiteje, Goodluck ambaye amezindua albam yake mpya na waimbaji Faustine Munishi kutoka nchini Kenya, Solomon Mukubwa kutoka Nchini Kenya pamoja na Ephraim Sekereti kutoka nchini Zambia wote kwa pamoja wamefanya maonesha mazuri yaliyopagawisha mashabiki wa muziki wa injili katika uwanja wa CCM Kirumba na kuwafanya wacheze kila wakati, katika picha kulia ni mwimbaji Goodluck na kushoto ni Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion inayoandaa matamasha hayo.
Tamasha hilo litaendelea kesho kwa onesho kabambe linalotarajiwa kufanyika  mjini Kahama mkoani Shinyanga baada ya kumaliza maonyesho  mawili katika mikoa ya Geita na Mwanza.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-MWANZA)
2
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye wa nne kutoka kulia  akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. John Mongela alipokuwa akimkaribisha rasmi ili kutoa salam zake kutoka kwa serikali.

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA PASAKA KANISA LA KKKT LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam  Machi 27, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mchungaji Charles Mzinga alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam  Machi 27, 2016.

MAZISHI YA MAMA FRIDA MWAMWAJA KUTOKA KYELA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinW5PLUIlbPe7BAA1BW4P6ScvGJgqko7Scg2FYyrLeI-CSFnYmUP0Ta-ljthJUon05JNuDpFBYvkweqVYQBOjwCaYbHhKtj0PaFW20CBizrvFv5wsFYSymYDJ3S_FUwcvtRs0v80JZ97A/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-8.jpg
Watoto wa marehemu pembeni ya kaburi ya mama yao
Hatimaye Jumamosi ya tarehe 19 Kyela, ndipo mwili wa Mama Frida Mwamwaja ulipumzishwa, baada ya kufariki tarehe 15 Machi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mama Frida amezaliwa tarehe 19 Disemba 1953, hivyo kufariki akiwa na umri wa miaka 62 akiacha watoto 3 wa kiume na mmoja wa kike, huku wajukuu wakiwa saba.

Kwa mujibu wa maelezo ya mtoto mmojawapo wa marehemu, kwa ghafla akiwa chumbani kwake alianza kusikia kizunguzungu, na baada ya hapo alianza kuomba na kisha alipomaliza alipata wakati mgumu kupumua na kisha kuanguka, kabla ya kuwahishwa hospitalini kwa ajili ya uangalizi zaidi, hadi hapo mauti ilipomfika.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEmlkvAB0RHENiBAluzfFD6LvZ6B1nn47DEIuoTNOBEwhNNVMBEYx-N7Ej_q4p-UAZIP-iw7Fe9F2E5VdAFK7h0N5sc6Xt1aQtg18H55-X7E-HsJIkDS5WRpc4X0iAhZgw0FoTMIQRF50/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-1.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggDBI35m45ngR5I19XrG3_Hkmpb6CracASBX5VroymL9yZg2kOFQbbzL6IYR5w-Kn9MxgA5Dn5JqJtbtKN7RolfbGPrde-EshDVwF-QucibGbTHSUW96XpdaJ5heB-t6JMJWDIGa5vzXg/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-2.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioUPbjiht5Scjx0gv_aOAqijFLQK4ch3Rtz-PlSGkHP6rk8wEdz5bi93M0RAkFtwwcgKdva5YKnpUbipkM7HPtuJsiCl5TEHymfKIPB4LdGBDoV0xLQvlnGExY-tYTzEL1mcr1k5-j8qM/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-3.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx5Ia7ugxQXSjX7RbAWHatH0NGQsE9yyBwPUvpGTSNJ975raC46sVAXNNKrGgpgeNZJrlpQnPRbGFWARVzv51mOzva_3HBZ5-jrB6h_6lOL5KvM-N5UdxKfVon_FrJ_Jue-X2IT1mls5A/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-4.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHeEpKRK3JAAHLH5nvy8720HdRYFk4otzJmFgpMl_at3mNR4LdjLeU_5WH963BFMhPz-QtQdT6lFQQ4v3g6Ba6QXZN0VTWjM_tNAb2s-mX1jbqGOD0qM8SR3dHnzsCIQOJERxdc7cyN44/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-5.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhw4j1-fhHPVibWz_9t6r9SzpApMjxVaiKoCqlkuWCMWP00WpgINMB35-cqJwxDxVtNZ6Uym-giWQypjzZFPPmc8y4RfM-9wWowiZRmwlN362UpvRd575g9v7vZXETRr5mpzg3eCfrue5k/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-6.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVdGnE9zPJdqnk0GLNxL0h3ylt2WzOLtg6iKLcRdJhi38Q4xUMkq2cC9ByaOi9MbZ_WF9V24OMeov0017bcNWMMyAgW7sWStpT6nshA7-URUxX6T_B3xbwjlHPkiCdsNZVawQZ5bt9TYo/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-7.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8Mm_dTpsk7UTOJdey8sFsJZfiGcD8p4GqQanHCM4XiiPMpF8iElreulPYrbqIBjEenLAJIc23X8pxCM0c3wR_mzMKmAtbhxXzH4gTO8kOfEG1vNTXmz_vwqZzAGSxWfRe7kmvjTo_Nzc/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-8.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjS4gAN8WvrMuEkC1fBHFF8tCgw3prUwTl5y17zSXMim-5IU0bDz_1aZhFDB0l5b8xGXIG6zvlXTLCmSDXYv4gUPuW66nUlrcjnCT5BMEZL1VqYZ1_5tRl0OHufiXvFY6ANjh8J3sNqamE/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-9.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnH_dulIuFfHLLuYNZEhcMS_NxXlTbRXZ8BBpmvwzeFKNBeDzE7l1J341K5Fiwy0NMaDrbSQfjB5mS5b_nYf5c5yUueyy3360Z_gBm3BdhoAzmsGQtQoJupBf8LbdY2wjynyra7eYuGCo/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-10.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNhkxIo83XKR67seJy7I_ktJGrs6yB6cLUsT6sPVMQl-Cypp-mDp6HoqlrkTP5W8Rxw566L4al8aIxz5OXwJW2wdgMSasGns4wfJOEgQp13JJz-MOUiqlCWcPd0H7lZ6QVZKgeEpfMjcA/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-11.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH3BTpjUGZJN2QA8xD4UsJ1gfJT5ChnVixo7BtKeEftaPwvWN7HP5IcfFxPisf_vDjt-7ipizQ6zp-fTBoLr8vQC-r6gnoEDIc5GnDuTGGofHTz0-5nmYntsCU3-9M2n43x8YMSNaqCUM/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-12.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfvDxFKYlsuP_EsY8Wj6jtzk7QtBam_bUPYfKqg95sInNy0gOlWH5oCxQf7MymWnx0FTq7rXWGUeQTIG0wTJLceYrn3pgs5tqHIYd0GOrMBV8K-fsPcxC6unDgglaCP3tmfhpwkwhVlUA/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-13.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgziSuo7s_i5snhZNDoKirnfno4wrGRXaAR392nRurrFZ05pdg-YbAzrl-SLZgMymRE9bvbCsBjvFYlnX21W57zDgzO2hLk4LHlsxAC7YHFKYt3y4lTAcdRT8BPhXKHcWnHNZCpFFtmvwY/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-14.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGu9RDzsxENThFpH_48fxYsOFsVwBG1BIeq4hCoRMPBgtQCszIwcAiqzHN5P6-wWBWll4khWBkWpfUsY47HT8xM6ihb6Ze4iHILVrjIw6nv-KQ1yDxdn-GG1u0MGbCV0r_Sz1jfSTR_40/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-15.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2qEqaWG7DsXze9dETvohAEBncKaPz67TKRFXrsN7d7XY4CYPZ7cUQVOR-6JiIn9C-kHLdkSUTDPYBJwb65HpIC30JY0UMguOqQv8Kttukrcfu0xrDjfhrSB6-5mhmFRewnEwlYdcGZYc/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-16.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7oueYh3_SPlK2047gFpDFnB0nQ64g487qyiRgNZAM0zQeELZAcdChnT1q9wVLx68q0T78xbat0M_MxCKWOGLJ_NYiajgNIRpf8vNoW9N_jEDf3d3HN2rbAHX72XaplDMa0xm50xwWPGE/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-17.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwFm3cerZv7HTVKgyYCTA3m_tc-MfZciMnS0V91DjDOh-s10i49zaQkCf_fUrGympdaPqIw_STNxEdQ8Mjeej9Bd7US6LXQKSnHquC7fmYhiRYlfZQuO7DaUrCAi0K46u0eX64HonbNAk/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-18.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYrHLBp5qcANWaImJPxJAG-aZrwaMA8KVcL5Iq7L0eBMbU-67CxeEY67LV7YTuaUJa2i5X6Yp1ukGyYxPoIHJ1tlVEmdpAt60hcBe0R9DqihSlgd3iZe2TGz-XOXFTBduiywxCro86NE4/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-19.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtB3eX82hyphenhyphenqr5nPkbDrn2k49EjJeoSokNmda8QkMqN6w6i9-ZKo-duBmunklHvzEosHkziR_MVYNV2ExcqbzBaO12avtUqt0SO1dkKne1pug0wbveHlVNCqFOJsAoYzDV1RNFW_yv6Vl0/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-20.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQZBAnqzsK_2PwFIMasNteDzbv8MeJtayRWmcf7m6Mizq7jlwinznKXkxXdCT8o97wNXLfdUpBodmLm_inSQyFQrDfHYGQf60GZKC8UXhyphenhyphenrW5-s7l_fIBNtw3fUvuGfxtzHRijnnNLAhg/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-21.jpg
Mchungaji Mwakasege wa Naioth Gospel Assembly

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXpYhoD4eeLNW-f9tahl6wcsyym__1KiAJ61-kH8WzqXMhwgkiAw5rrWFh2B2NT1kaeVS5ufgV8bs15oB77k6OLzuJVBzgBqBoGC8Z3W2-x78WW2gNwPNqDM1Hhws2AR_9-6wxyQzSo9s/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-22.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqw3NqkKGjPZGA7RH6_cOWwJX0dF1CltLKdhac0PL7dnP3xenRoWLC04ahL5K4Puu5RBmjEqNKqR6_L9yHOewtv1_3OLQAcKW0NG4yxq3YZo_O8ZopirkuHWnst3BJ3SXCWPx0_D3nBxc/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-23.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5OyzLQE3UFd2H5cNgySmt5dAib61kMV2PG06TNkYZ0Re_k52aqryS8F96dh8YNPIJZIGImOlW4nB3lWHfG-z7rvjXn3WAjV2wgFeAwz6v9r7uG9qo7Nd9ycxpRstqcb8ycd0K2R_DOdM/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-24.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6KRebELU9gyG576VXJ3BEnm_-FBOB6lI7EMgnM01EzIzYKdHxIfVVDUCgzNrX4T5L80qwRG9tGBfhXZ2Qcpp2gLQ2exF4gjh_tFfQR1kki7z-amRvhQmit5ydmVOQNkIw2H7TTZdDDM0/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-25.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGI8ChUAvbaQ2i0l5c-MqwXxTRLEADE9Wn2TkuPop4R9hYEtFS0L2Fnysk6CsAW5JGjGU3kbjO6TA7NukTtzq_tvnLJ0pVEEt_i3DehMgSRcHA3fjt2ualVnCb_Wno5gGNXvvOKjiF2zc/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-26.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlj-fATLtJjYBBbszKWm7krUEgKGhyphenhyphengo9M7bSBjS6jNAZDZgp56q71Xb49CJekhkKsecBslQG42zSjrWhcwkrqOP-G_V1b-GIwVC7SYpKezJ9ShlqB9rLQDKBTLHoJqXEM5_zX_R_yvZw/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-27.jpg
Mtoto wa kwanza wa marehemu

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBQZfkEjD9uhLnLEcQHcAKYc5TzL3i-CUix5EolqEuWFVk1YzxOVXo3DBViJwMlbzQYNwcnDt5tqOgLf58MDFW6YLIXZd754zd8HYZkkbpNQG6qZEolZvXqNALyP63cDdojjiu1-Ty2K0/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-28.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5RCRSeVXoAbuyXSlamLEct8Ni0OSwRP3Nj6gjVIr5MPBMJnsdSV2-_c4X5J1w_FaAVniRZchCAyF_SiOZP645AjZWRsxAalZJoVTEQCb88yu0wYLT1HeFaprOBX7LjLseUTqKbSFuuyI/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-29.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEga4Y9lP9bRJHMNqHsrMYOrKzYaaaDcIeOzR5c9y9TNmB2fdKg-gGWrEwsxTnpPpS9IF4UBvmgj1gOvEKLCdLX0IYyqG6mmdR_9hZ5ReWnvVo5zWLKCK3-yPNHTHqRbZkYA8eWPUsQwabY/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-30.jpg
mtoto wa mwisho wa marehemu

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtOGx5xbXmTQOfX2arRnYYzRBHx0_Pp4_Tnw9NmOxJMHAM2CxGstUrW0C3teQznVJp0dHitSnG3MPf9f72wkRAc7chjTBR_JvSG1KGpyeMc7d4pPz_YS6sCn8tUOOaFycWOkeUs3d4xAM/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-31.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgb0RlY_huZVxPd1EFqAV3RdsgcLPQjweQ3S87E19CpCRl4jvRpXq-9mHUU2ZkNySz6sPtivxAu0SdfDck_YtTI37Lg-4-SxV7WjGflbJu4iSuEi_X1rdKNJyoFbdRVNjF5o55P49tGXSs/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-32.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj-ryLc6Bo8vc6xHPzAJRO3yNTvaxX8Qw3hZZsTVzY6zZw46YysNqH9ZkR6emFIakYQZKgBvVzXHtkMfpdzyRO7x2CB54oAw_nQgELOr7BmLgXrBzjLTNkVbp3ebVsbWIvJyxeC_cqYvA/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-33.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoUZwHouXMBvm7x3a6g4EuokjjAymGvPyMv6YGJSI406Ne4ZYSWD9hTfW7RsBpD6lXEgSEosqel83cGZvFtmTFjHbXqlsVaXFO2rWofeW8Fhg9-QmL1-wD_J1x39TtqycESij8Y13ZQ2c/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-34.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibtc9tBB8l7s0_ZWuC1DP-tbOd5uQNb5ZEh-LS78aywIVdGE2gXKsQWt3rTyMob4cEdDYUZrxAwEzzLe2OpROy40V5DN9nBTRHl0KDTZjhtlewPWco_UIvjqEjQqmVPGi-162gO2EKnZk/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-35.jpg
Mama mzazi wa marehemu

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgx_w8azR2STWadh5NhLfJuahYylinw1z7OTx0Ylh6j6A0L_bjhcWszWXyI9KDjg_p_fj7aCLjkFSwyWRaUNKwMHUAbhmtG9Rw95ZBMjgDOsKrAKOoWvldygk5q10uE_IZw8ARX8q5laOY/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja-36.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhju38segQIxDxc42e2z9M85w23JA1-5DbSfsUrnJ2-a3MKMze7F_840MNbMuW5fx4_zaFwEE_0ufcVshzmdbr8AvyepxzGlmOC8vF4KOqlDEgT31s_10c3nkKSnPxHPfgdINBisZUDTqI/s640/Mazishi+Frida+Michael+Mwamwaja.jpg
watoto wa kiume wa marehemu
Ksatika yote, hatuna cha zaidi ya kumtukuza Mungu kwa ukuu wake, maana atenda na kuwaza kwa muda wake tofauti na wanadamu. Tunaomba faraja ya Mungu iwe pamoja na wafiwa wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.

BWANA ametoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA libarikiwe.
kwa idhini ya gospelkita