YESU NI JIBU

Alhamisi, 16 Julai 2015

HABARI ZA HUZUNI KWA KANISA LA KRISTO NA WAKRISTO MCHUNGAJI WA KANISA TAG MOUNTAINS MOVERS AMEFARIKI DUNIA

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mountains Movers TAG lilopo Tabata Sokoni mchungaji Geoffrey Sichinga amefariki dunia kwa taarifa ambazo zimefikia blog hii,msomaji na madau wa amaninafuraha tutaendelea kukujuliza kila kitakachojiri asante kwa kuwa nasi.
unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 06826728282 au 0779632616,kama utakuwa na habari ama jambo lolote au tukio lolote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni