YESU NI JIBU

Alhamisi, 9 Julai 2015

SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA HUDUMA YA USHAURI WA KIBLIA NA MAOMBEZI BCIC

Siku ya maadhimisho ya miaka kumi ya huduma ya ushauri wa kiblia na maombezi BCIC yalifana ambapo wamehudhuria watu mbalimbali viongozi wa dini mbalimbali na viongozi wa serikali.
Kutoka kushoto ni Askofu Maiko Peter Imani wa BCIC Mbagala maji meupe,wa pili ni Alhappiness mke wa askofu Slvester Gamanywa wa tatu ni Askofu Gamanywa  siku ya maaddhimisho ya miaka kumi ya huduma ya BCIC.







Askofu John Rwezaura kutoka kushoto akiwa na askofu Michael Peter na Alhappiness katika ukumbi wa BCIC.
Askofu John Rwezaura kutoka kushoto akiwa na askofu Michael Peter katika ukumbi wa BCIC.

Waimbaji wa kwaya Kinondoni Revival wakihudumu katika ukumbi wa BCIC Mbezi beach.


Askofu Michael Peter katika ukumbi wa BCIC.


Waimbai wa Kigogo wakihudumu katika ukumbi wa BCIC.

Mshereheshaji Lawrence Mwantimwa akifungua zawai tayari kukabidhiwa askofu ambaye anaangalia kwa makini akiwa na mke wake.
Mshereheshaji na pia ni mhwariri mkuu wa gazeti la msema kweli na Wapo redio Elibariki Minja akizungumza ndani ya ukumbi wa BCIC.
Askofu Gamanywa akishika zawadi ambayo amezawadiwa na mke wake.
Askofu Gamanywa akiwa na Elibariki Minja,Alhappiness na Mwantimwa.
Mc mwantimwa akiwa na mc Minja.
Mzee Respius Mweisiga akizungumza jambo katika ukumbi wa BCIC Mbezi beach.
Mke wa mzee Mweisiga akishika zawadi akiwa na askofu Gamanywa na mke wake.
Mzee Mweisiga akifurahia jambo na askofu Gamanywa na wake zao. 




Askofu mkuu wa BCIC Gamanywa akikabidhiwa zawadi.
Askofu Gamanywa akishika zawadi ambayo amepewa wakati wa maadhhimisho ya miaka kumu na mke wake naye ameshika zawadi.

Askofu john Rwezaura akivalishwa taji na kupewa zawadi siku ya maadhimisho ya miaka kumu ya huduma ya BCIC.




Mchungaji Tondogoso Akivalishwa taji na kupokea zawadi.
Askofu Gamanywa akizungumza katika maadhimisho ya miaka kumi ya huduma hiyo katika ukumbi wa BCIC mbezi beach.


Waumini ambao wamefurika katika ukumbi wa BCIC katika maadhimisho ya miaka kumu ya huduma hiyo kuanzishwa.

Mtangazaji wa wapo redio akiwa kazini kuhakikisha kuwa wanawapo wanapata picha za tukio zima.


Watumishi wa Mungu wakitoka ukumbini mara baada ya kuhitimika kwa ibada.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni