YESU NI JIBU

Jumanne, 21 Julai 2015

HALI ILIVYOKUWA KATIKA KANISA LA CITY HAVEST CHURCH TABATA MAGENGENI ENEO AMBALO ZAMANI ILIKUWA IKIFAHAMIKA KWA JINA LA SWIS PUB.

Ibada ilivyokuwa katika huduma ya city havesty Church katika eneo ambalo wamehamia huko Tabata Magengeni.
Kanisa hili lipo chini ya Mtume Livingstone Banjagala.

 mchungaji ambaye anatokea Canada Apostle JonnahsAmissih akitoa huduma katika huduma ya CHC.





Waumini wakufuatilia neno katika kanisa la City Havest Church.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni