YESU NI JIBU

Jumamosi, 11 Julai 2015

SIKU YA MZISHI YA ALIYEKUWA MWASISI WA HUDUMA YA CATHEDERAL OF JOY ASKOFU JOHN KOMANYA FUATILIA KATIKA PICHA AMBAPO VIONGOZI MBALIMBALI WALIHUDHURIA KUTOA SALAMU ZAO ZA MWISHO.

Siku ya mwisho ambayo amelazwa Askofu John Komanya ambapo watu wengi wamehudhuria pamoja na waimbaji mbalimbali,maaskofu sambamba na wachungaji.



 Dastan Mtoi akiaga mwili wa marehemu Komanya.








 Wengi walishindwa kujizuia kulia.

 Mbunge wa viti maalum na pia ni askofu wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni Assemblies of God naye amehudhuria mazishi.




 Kikundi cha waimbaji ambapo walikuwa wanahudumu na askofu Komanya wakiimba wimbo maalum.

 Mtume Dastan Maboya akihubiri siku ya mazishi.






 Watumishi wa Mungu ambao wamehudhuria mazishi Mtume Maboya Mzee wa upako 








 Mwisho kabisa maombi yakiongozwa na mtume Maboya.


Kwa her\i mtumishi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni