YESU NI JIBU

Jumamosi, 18 Julai 2015

RATIBA YA MSIBA WA MCHUNGAJI GEOFREY SICHINGA WA KANISA LA TAG TABATA BIMA MOUNTAINS MOVERS KAMA IFUATAVYO.

MUDA
TUKIO
kuanzia saa 11 asubuhi hadi saa 12 :30 mchana
ni chakula nyumbani kwake ILala nyuma ya hoteli ya Lamada.

Saa 12:30 hadi saa 13:30
ibada hapo hapo nyumbani

Saa Saba  na nusu  hadi 14:30
ni kuaga  mwili

Saa 14:30 hadi 15:30
msafara unaanza kuelekea makaburi ya segera

Saa 15:30 hadi saa 16:30
mazishi segerea





Hakuna maoni :

Chapisha Maoni