Shangwe za AMANINAFURAHA KWA NDUGU GEORGE NA BI NURU.
Hili ndilo kanisa ambalo Harusi ya Rungu la Yesu imefungiwa TAG Dar es salam Calvary Temple.BLOG hii inawatakia maisha mema na faraja na mafanikio George na Bi Nuru maana apataye mke apata kitu chema. Hongera sana kaka kwa hatua kubwa maishani,Nawatakia Maisha marefu yenye furaha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni