YESU NI JIBU

Jumanne, 21 Julai 2015

MKUTANO WA INJILI WA SIKU NANE KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT TEMEKE,MHUBIRI NI MWINJILISTI ERNEST RWEHABURA.


Ni wakati wa kumtafuta Mungu katika maisha yako huku ukiwashirikisha wengine na kufuata njia zinzompendeza mungu na kuachana na dhambi ambazo zimekuwa chukizo kwa Mungu.
Mwinjilisti wa kimataifa Ernest Rwehabura ANendelea na mkutano wa injili katika viwanjwa vya kanisa la EAGT Temeke lilopo nyuma ya hispitali ya wilaya ya Temeke chini ya mchungaji Christomo Ngowi.
Watu mbalimbali na wenye shida za kila namna wamefika katika mkutano huo na kufunguliwa hata wale waliokuwa akionewa na nguvu za giza mapepo na mashetani wamewekwa huru.
mkutano umeanza toka jumapili Julai 19 2015 na itahitimika siku ya jumapili ya Julai 26 mwaka.












 Wakati wa kusifu na kuabudu waumini wakiongozwa na vikundi na kwaya mbalimbali pamoja na waimbaji binafsi.








Zoezi la maombi n Mombezi likiendelea katika viwanja vya kanisa la EAGT likiongozwa na mwinjisti Rwehabura [pamoja na mchungaji Ngowi.
kama una jambo habari wasiliana nasi kwa namba 0682672828 na kwa whatsapp 0752834514.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni