YESU NI JIBU

Jumatatu, 14 Mei 2018

UBALOZI WA MAREKANI KUHAMIA JERUSALEM NA WATU 37 WARIPOTIWA KUFARIKI DUNIA:

Mamia ya watu wamejeruhiwa, kwa mujibu wa maafisa wa Palestina


Haki miliki ya pichaAFP
Image captionMamia ya watu wamejeruhiwa, kwa mujibu wa maafisa wa Palestina

Raia 37 wa Palestina wameuawa na wengine 1,300 wamejeruhiwa na wanajeshi wa Israeli katika mapigano katika mpaka wa Gaza, maafisa wa Palestina wanasema.