YESU NI JIBU

Alhamisi, 29 Mei 2014

UNGANA NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MAGIDA TIMOTHEO KATIKA KUZINDUA DVD YAKE YENYE JINA NIOMBEE KWA KUHAKIKISHA KUWA ANANUNUA VYOMBO VYA MZIKI KWA LENGO LA HUDUMA

Muunge mkono mtumishi wa MUNGU mwimbaji wa nyimbo za injili kuhakikisha kuwa huduma yake inaenda mbela na sii mwingine ni Mangida Timotheo.
Ndugu Magida anatarajia kuzindua album yake katika kanisa la EAGT MLima wa faraja Yombo-Kisiwani.


SEMA JAMBO JUU YA HUDUMA HII YA MTUMISHI MAGIDA
Tarehe 13.07.2014 Magida Timotheo anatarajia kuzindua albamu yake ya UNIOMBEE katika ukumbi wa kanisa la E.A.G.T Mlima wa Faraja Yombo Kisiwani kwa fundi umeme Dar es Salaam, Tanzania. Mgeni rasimi ni Mh. Angela Kairuki, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria. Uzinduzi huu utafanyika kuanzia saa 7: 00 mchana na kuendelea. Hakuna kiingilio chochote.

Uzinduzi huu utaambatana na kuchangia huduma yake wa uimbaji kama ilivyoelezwa kwenye kadi hapo chini. Maaskofu, mitume na Manabii, Viongozi wa serikali, sekta binafisi na kila yeyote mwenye moyo wa utoaji

Kutakuwa na waimbaji mbalimbali kama vile Madam Ruti, Upendo Nkone, Christina Mataoi, Atosha Kissava, Bahati Bukuku, Flora Mbasha, Hondwa Mathias, Jerry Mtumishi, Sarah Mvungi, Grace Rwegasha, Julieth Dougrase na wengine wengi watakuwepo.

Ewe Mtanzania jitokese kumsaidia mwimbaji huyu kwa kumtumia mchango wako kwa namba yake +255 752 187043 au +255 714 267875