YESU NI JIBU

Jumamosi, 3 Machi 2018

KUKOMBOA WAKATI SIO KWENDA NA WAKATI:


Na Stelius Sane,
Imebainika kuwa kila mmoja akikomboa wakati badala ya kwenda na wakati atafanikiwa katika maisha yake kiuchumi,kiafya,kisiasa na hata kiroho kutokana na kuwa katika wakati sahihi wa kile anachokifanya.