YESU NI JIBU

Jumatatu, 22 Januari 2018

MAOMBI YA VIONGOZI WA DINI HULETA MABADILIKO MAKUBWA KWA TAIFA.

Askofu Mkuu wa Nyumba ya Huduma ya Abundant Blessing Centre, Flaston Ndabila ambaye ndiye Mratibu wa maombi hayo akizungumza kwenye ibada ya maombi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Nyumba ya Huduma ya Abundant Blessing Centre, Flaston Ndabila, akimkaribisha Waziri wa HabariUtamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwenye ibada hiyo mara baada ya kuwasili.

Jumatano, 17 Januari 2018

BROFOA HUTOA ELIMU BORA KUWASAIDIA WALIOKATA TAMAA NA KUSHINDWA KUENDELEA NA ELIMU

Mkurugenzi wa Brothers Academy Ndugu Robart Rwezaura akizungumza jambo na waandishi wa habari.
 Na Stelius Sane,
Imebaishwa kuwa elimu ambayo hutolewa katika mfumo usio rasmi imekuwa msaada mkubwa sana Kwa wale ambao walishindwa kupata elimu katika mfumo rasmi kutokana Na matatizo mbalimbali ya kifamilia ama sababu zingine.
Kauli hiyo imetolewa Na mkurugenzi wa brothers font of academy ndugu Robart Rwezaura wakati akizungumza Na gazeti hili ambapo alisema kuwa mfumo usio rasmi umekuwa mkombozi wa kielimu Kwa wale watu walioshindwa kusoma Katika mfumo rasmi.