1.Kwa nini ibrahimu alimwambia mkewe Sarai kuwa
watakapo ingia katika nchi ya misri wakimuuliza yeye aseme ni ndugu yake?
Answer :ni
kwa sababu Sarai alikuwa mwanamke mzuri wa uso
Mwanzo
12:10-11
2.Ni changamoto gani kubwa ambayo imemkumba Abrahamu
katika kipindi chake wakati Mungu alimwahidi kuwa mwanaye atakuwa mridhi wake?.
Answer:mtoto
mwanzo
15:2-4.
3.Katika biblia ni kitabu gani inasema kuwa hayo
nawaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu.Ulimwenguni mnayo dhiki;lakini
jipeni moyo;mimi nimeushinda ulimwengu.
Yohana
16:33,
Yohana 14:27,rumi
5:1
1yohana 5:4
2.Kwa nini Mungu
anamtafuta mtu wa kumwabudu katika Roho na kweli?
Answer:Kwa sababu anataka ushirika na mwanadamu ili afurahie
upendo wa mwanadamu aliyemuumba kwa mfano wake na kutimiza kusudi lake la
ushirika.yohana 4:23-24,Luka 1:46-47.
3.Karama Tisa za Roho
Mtakatifu zimegawanyika katika mafungu matatu nazo ni zipi
1.Karama za ufunuo
· Neno la maarifa
· Neno la hekima
· kupambanua Roho
2.Karama
za uwezo
· imani
· karama za kuponya
· matendo ya miujiza
3.Karama
za usemi
· Unabii
· Aina za lugha
· Tafsiri za lugha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni