YESU NI JIBU

Jumanne, 26 Mei 2015

HAPA SASA ZAWADI SITA ZA KINABII KWA MWANA HARAKATI MTUME KIJANA BASHANDO ZATOLEWA MARA BAADA YA HUDUMA .



Apostle Bashando baada ya kuhubiri na kuimba nyimbo zake mbali mbali, ndipo prophet and apostle Bethania Simon ametoa unabii wa matamshi na,kivitendo kwakumpa zawadi za kinabii ktk huduma yake ya the movement of makamanda wa Yesu.
(1) Skuff ya kuvaa shingoni,yenye rangi za bendera ya taifa letu. Ishara ya kuvaa utayari kwa nchi nzima.




 
(2) Bendera kubwa ya taifa la tanzania. unabii wa kuonyesha ataifikia nchi nzima kwa maono ya makamanda.

 
(3) Apostle Bethania,alimkabidhi moto mkononi,apostle bashando. kama ishara ya kujua,mungu ni moto ulao,hakuna mtu yoyote atakaye weza kuzima maono yake ya makamanda.
 
 
(4) Nabii Bethania akamwagiza mke wake Neema Bethania kumvika mataji shingoni. kinabii ni ishara ya upendo wa kweli wa kanisa letu kwa Apostle Bashando,na makamanda.
 
 
 
(5) Mtume Bethania,alivua kitambulisho chake,ambacho kina picture yake na njiwa wawili,ambayo huvaa anapo kua madhabahuni. kinabii ni mahusiano ya rohoni,kati ya apostle na apostle mwenzake.
 (6) kisha mtume Bethania akampa andiko la kiunabii, ili asije choka ktk hizi harakati zake,hata akiwaona maadui asiogope ( yeremia 1:17_19)

(7) Mwisho tulipokea,unabii huu kwa kucheza sifa kali ya kufufua mtu.
 
 kama ishara ya kusema imekua katika jina la yesu.
Bwana akimuinua mtu wake nani atamzimishaa, pamoja sana makamanda wote,seleli upooo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni