YESU NI JIBU

Jumatatu, 18 Mei 2015

MGANGA WA KIENYEJI ASALIMISHA ZANA AMBAZO ALIKUWA AKITUMIA KUWAAGULIA WATU NA KUPIGA RAMLI.



Imeonekana kuwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na suala  mauaji yanahusishwa na imani za kishirikina huchangiwa kwa asilimia kubwa na waganga wa kienyeji.
kauli hiyo imetolewa na mwinjilisti wa kimataifa andulile mbile wakati akielezea  kuhisiana na mganga wa kienyeji ambaye alisalimisha vifaa vyake vya kiganga kwake katika mkutano wa injili ambao ulifanyika katika viwanja vya kisopwa jijini dar es salaam ambapo amesema kuwa kwa asilimia kuwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yanahusishwa na wanganga  hao.
Aidha ameiomba serikali kuwa makini hasa wakati wa kutoa vibali kwa waganga wa kienyeji na pia alizungumzia suala la uchanguzi ambao unategewa kufanyika octoba mwaka na kuwaondoa hofu wananchi kuwa kutakuwepo na amani wakati wa uchaguzi maana wananchi wengi mpaka sasa wanawaza sana juu ya uchaguzi kuwa itakuwaje.

 hizi ndizo zana za kiganga ambazo zimesalimishwa kwa mwinjilisti Andulile.



Mwinjilisti Andulile akikagua hivyo zana na kuanza kuchoma.

  Hapa zoezi a kuzichoma moto limeanzaa
 

Ubatizo unaanza  
 Naye bwana jackson hakanya ambaye alikuwa mganga wa kienyeji na ameamua kusalimisha vifaa vyake na kukubali kubatizwa alisema kuwa kwa asilimia kubwa wagan ga wa kienyeji wanadanganya wanadamu wenzao maana kwa asilimia kuwa dawa hizo hazileti mafanikio kama inavyosadikiwa na wengi na kaka kutatokea mafanikio badao ni ya muda mfupi sana,hata hivyo aliamua kubatizwa









Baadhi ya waumini ambao walimpokea bwana Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao na kukubali kubatizwa hapa zoezi la ubatizo likiendelea katika bahari ya Hindi


 Baadhi ya waumini ambao walishiriki katika mkutano.
 Katika mkutano huo ambao umefanyika kisobwa watu wengi wamefunguliwa kutoka kwenye matatizo mbali mbali na kuamini na wengi wao walibatizo.
wasiliana nasi kwa namba 0682672828.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni