YESU NI JIBU

Jumatano, 13 Mei 2015

MH.MBATIA NA MH.MREMA WAKUTANA KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI.

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba Kotelailokofanyika ibada hiyo

Mbunge Mbatia akiingia kanisani humo.
Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshiunaofanyika kando ya Usharika huo.

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop Moshi wakiwa katika ibada hiyo.

Viongozi mbalimbali wa dini pia walikuwepo.

Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni