YESU NI JIBU

Jumanne, 5 Mei 2015

WENGI WANAFIKA NA KUOMBEWA NA KUFUNGULIWA KWA JINA LA YESU MTENDA MIUJIZA NI HOUSE OF PRAYE KWA APOSTLE P.K.E.

Huduma ya House of Prayer imeendelea kuwasaida wengi kwa kuwafungua kwa jina la Yesu ,wenye shida mbalimbali wemefunguliwa na kupokea uponyaji.




Hawa ni baadhi ya watu ambao wamefika katika kanisa la House of Prayer na kukutana na nguvu za Mungu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni