YESU NI JIBU

Jumatatu, 19 Januari 2015

SEMINA YA KUVUNJA MADHABAHU ZA LAANA UMASKINI NA MAGONJWA KATIKA KANISA LA EBENEZER :

Ni semina kubwa ya kuvunja madhabau za laana za magonjwa,umaskini,kuukataliwa,ni siku saba kuanzia tar 19/1 -25 Jan 2015 usipange kukosa magojwa mbali mbali yataombewa,utafundishwa juu ya laana ya madhabahu ya shetani na jinsi ya kuvunja na kujenga madhabau ya Mungu, itaongozwa na Nabii Honest Mallya akishirikiana na Abraham Peter waimbaji mbalimbali watakuwepo wakiongozwa na bendi ya Ebeneza.
 Nabii Honest Malya akifundisha neno katika kanisa la Ebenezar Njia panda ya Segerea.
 Kikundi cha kusifu na kuabudu wakiwajibikwa madhabahuni katika ibada ya kusifu na kuabudu.
Waumini waliofika kanisani wakimwabudu Mungu ndani ya kanisa la Ebenezer.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni