YESU NI JIBU

Jumamosi, 3 Januari 2015

IFAHAMU BIBLIA YAKO KWA KUJIFUNZA NENO KWA UFASAHA

Rafiki ni nani ?
answer:ni mtu ambaye unaweza kumwamini ,kujiweka wazi kwake.

              ni mtu anayeweza kuchangia kufaulu na ustawi wako katika maisha.

2.Toa maana sita za rafiki wa kweli kwa mfumo wa kiblia ni nani?

answer:

1. Rafiki ni mtu anayekupenda (yohana15:12)

2.ni mtu aliyetayarikujitoa maisha kwa ajili ya marafiki zake(yohana 15 :13) Yesu pia alionesha hilo kwa kutufia msalabani (rumi 5:8)

3.ni mtu ambaye yupo tayari kukutendea lile jema utakalomwomba akutendee (yohana 15:14)

4. ni mtu anayehusika na kushirikiana nawe(yohana15:15)

maombezi ,mafundisho na makemeo ya urafikiYesu anainua ,kuponya na kuadibisha.

5.ni yule anayejitolea kwa hiari kudumisha urafiki uliopo(yohana 16:16)

kujitoa kwa  moyo wa hiari kulinda kudumisha uhusiano wa kirafiki(yoh 7:17)

6.ni yule ambaye anaendelea  kuchagua kuwa  rafiki wakati wengine wote wanajitenga na kukimbia kwa sababu mbalimba(yoh15:17)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni