YESU NI JIBU

Jumatatu, 12 Januari 2015

MCHUNGAJI APIGWA RISASI NA KUFARIKI DUNI MOMBASA NCHINI KENYA:

Watu waliokuwa na bunduki na wanaoaminika kuwa wanachama wa kundi la itikadi kali wamemuua kwa risasi mchungaji mmoja katika mji wa pwani wa Mombasa nchini Kenya.
Henry Ondiek, anayesimamia kitengo cha upelelezi wa jinai mjini Mombasa amesema mchungaji huyo alipigwa risasi langoni mwa shule ya msingi ya Mvita ambayo ina kanisa la Maximum Revival Centre, msikiti na kanisa jingine na inalindwa na polisi.
Ondiek hakusema aliyehusika na shambulizi hilo, lakini linafanana na mashambulizi ya risasi na maguruneti yaliyotokea katika eneo hilo na kulaumiwa kufanywa na kundi la al-Shabaab la Somalia.
Source:DW
Mchungaji Charles Mathole enzi za uhai wake. Picha kwahisani ya mwinjilisti Munishi.
Mchungaji Charles Mathole ameuawa kwa kupigwa Risasi na watu wasiojulikana katika kanisa analoliongoza la Redeemed Gospel Church lililoko Vikwatani Mtopanga Mombasa majuma mawili baada ya Shekhe wa dini ya Kiislamu kwa jina la Rogo kuuawa katika mazingara ya kutatanisha ikapelekea maandamano ya Waislamu Mombasa na Kanisa likateketezwa moto.

Pastor Charles Mathole wa Redeemed Gospel Church Mtopanga Mombasa alipigwa risasi ya kichwa Ndani ya Kanisa USIKU wa kuamkia Leo Jumapili ambako anadaiwa alikuwa ameenda kumuombea mama aliyekuwa namatatizo ya ndoa na Mume wake na haijulikani nini kilifuata baada ya hayo.

Polisi wameanza uchunguzi na japo waumini waliokuja kuabudu waligeuka waombolezaji na kufanya maombi kanisani hapo kwa kuvunja nguza za shetani zinazojiinua kanisani hapo. Morris Ali ambaye ni mmoja wa wanakwaya kanisani hapo ambaye aliitwa kujionea tukio hilo, alisikitika kwa jinsi alivyouona mwili wa mchungaji huyo ukiwa upo kwenye kiti sehemu ya kinanda huku Biblia ikiwa mikononi, kichwa chake kikiwa kimelala kwenye kona ya kiti cha plastiki, ambapo mwimbaji huyo amesema waliposogea karibu ndipo walipoona damu zikitoka kichwani mwa mwili huo.
Kanisa la Vikwatani Redeemed Gospel alipouwawa mchungaji huyo. Picha kwahisani ya Labban Waloga Daily Nation.
Ambapo kwa mujibu wa Katibu wa makanisa Mombasa bwana Stanley Prince Nyachae amesema hakuna mali iliyoibwa kanisani hapo na kutaka mamlaka husika kufanya uchunguzi wa haraka ili kubaini waliofanya tukio hilo.
Source ; Daily Nation Kenya.
- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/10/mchungaji-auwawa-kwa-risasi-mombasa.html#sthash.DBtFqt5p.dpuf

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni