YESU NI JIBU

Jumatatu, 7 Machi 2016

KANISA LA JESUS SAVE FELLOWSHIP LINAKUKARIBISHA KATIKA IBADA YA MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUFUNGULIWA KUTOKA NGUVU ZA GIZA NA MAGONJWA PAMOJA NA MATATIZO YANAYOWAKABILI KATIKA MAISHA YAO.

Mchungaji kiongozi wa kanisa jesus Save Fellowship Mchungaji Zakaria Oswad Lule akifundisha neno.









Waumini waliofika kanisani kuombewa na kufunguliwa katika matatizo na taabu mbalimbali zinzowakabili na kuwafunga na Yesu mtenda miujiza aliwafungua wote.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni