YESU NI JIBU

Jumatatu, 21 Machi 2016

WAKATI WAZANZIBARI WAKINGANA NA WENZAO KUPIGA KURA YA MARUDIO YA KUWACHAGUA VIONGOZI MBALIMBALI KUANZIA NGAZI YA URASI NAYE MTUME NA NABII BETHANIA AUNGANA NAO KATIKA MAOMBI YA KUOMBEA AMANI NA UTULIVU ITAWALE VISIWANI HUMO.

 Mtume Simon Bethania akiombea amani na utulivu Zanzibar katika kanisani la Neema ya Kitume ambalo ndilo analiongoza.








 Waumini wakishirikiana na mtume Bethania kuombea amani na utulivu Zanziabar.










Nao waumini wapata nafasi ya kuombewa na kufunguliwa katika vifungo mbalimbali.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni