YESU NI JIBU

Ijumaa, 25 Machi 2016

IJUMAA KUU YA PASAKA NDANI YA KANISA LA TAG AMANI CHRISTIAN CENTER KWA ASKOFU DR LAWRENCE KAMETA AMEFUNDISHA SOMO LA MAMBO SABA AMBAYO DAMU YA YESU IMEBEBA

Ibada ya ijumaa kuu katika kanisa la TAG amani Christian Center kwa askofu Dr Lawarence Kameta ambapo alifundisha neno la Mungu juu ya mambo saba ambayo damu ya Yesu imebeba.
Aidha askofu Kameta alisema kuwa ukiwa ndani ya damu ya Yesu kuna mambo mengi yanatendeka katika maisha yako.
Ailiongeza kuwa ndani ya damu ya Yesu kuna uweza ambayo ndiyo inawainua wenyeshida matatizo na kuwaweka huru na utakuwa mfano na hutaonewa na adui shetani.







Hakuna maoni :

Chapisha Maoni