YESU NI JIBU

Jumapili, 20 Machi 2016

VIONGOZI MBALI MBALI NA WANANCHI WAMESHIRIKI KATIKA UCHAGUZI MKUU 2016.

IMG_5167










Rais Mstaafu Aman Abeid Karume Akitumia Haki yake ya Kupiga Kura
1470069_1595375480752331_65083525186009605_n
Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan Akizungumza na waandishibaada ya Kupiga KuraIMG_5168
Mke wa Rais Mstaafu wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume Akitumia haki yake ya Kupiga kura
IMG_5169
Mh Balozi Ali Karume Akipiga Kura yake
670502cb-700e-47f1-b9e9-fa44bea0f2db
Mh Makame wa pili wa Rais Akizungumza na waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura yake
_________________________________________________________________________________
Katika Kutekeleze haki ya Kupiga Kura Tumeshuhudia viongozi mbali mbali na wananchi wakishiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Marudio Zanzibar
Mh Dk Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar Alishiriki Kupiga Kura yake Mkoa Kusini Wilaya ya Kati Katika Kituo cha Skuli ya Kibele, Makamo wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan alipiga kura yake Kiembesamaki  , Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi Alipiga kura yake katika Jimbo la Mahonda Upigaji wa Kura huo ulikwenda kwa salama na Amani na wananchi mbali mbali wamejitokeza kwa wingwi katika Kutumia haki yao hiyo
Viongozi wengine ni Rais Mstaafa Aman Karume , Mke wa Rais Mstaafu Hayati Abeid Aman Karume pamoja na Balozi Ali Karume Kujumla zoezi la kupiga kura limefanikiwa kwa kiasi kikubwa Zanzibar





















Hakuna maoni :

Chapisha Maoni