YESU NI JIBU

Jumatatu, 29 Februari 2016

MCHUNGAJI KIONGOZI WA KANISA LA CITY HAVERST INTERNATIONAL APOSTLE DR LIVINGSTONE BANJAGALA AONGOZA MAOMBI NA MAOMBEZI SHENZEN NCHINI CHINA


Apostle Dr Livingstone Banjagala akiongoza waumini katika maombi na maombezi huko Shenzen China





 Waumini waanza kufunguliwa kwa jina la Yesu mara baada ya zoezi la maombi kuanza huku mtumishi wa Mungu apostle Banjagala akiwawekea mikono na kuwaombea.



 Neema kubwa sana na wengi walifunguliwa apostle Banjagala akimwombea mwanamke kwa kumwekea mikono huku wengine wakizama katika maombi




 unapo wadhuru wengine usinipite maombi waliyokuwa wakiomba waumini huko Shenzen China wakiongozwa na mtumishi wa Mungu Dr Banjagala



Waumini wakiombewa na kutabiliwa na apostle Dr Livistone Banjagala Shenzen China.
unaweza kuwasiliana nasi kwa 0682672828,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni