YESU NI JIBU

Jumatatu, 28 Machi 2016

AUSTRALIA HAITAKUWA KAMA HAPO AWALI NI KAULI YAKE DR LIVINGSTONE:

Mchungaji kiongozi wa kanisa la City Haverst Internationa Mtume Dr livingstone Banjagala amewaongoza waumini wa taifa la Australia katika maombi na kuwafungua kwa jina la Yesu Kristo mtenda maajabu na miujiza.






Mtume Dr Livistone akifundisha neno la Mungu katika ibada



zoezi la maombi na maombezi linaendelea.






Zoezi la kuoemba limeanza na wengi kudongoka na kufunguliwa. 







Kila mmoja anamwabudu na kumwomba Mungu akutane naye katika mahitaji yake na mateso wanayoyapitia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni