YESU NI JIBU

Jumatatu, 14 Desemba 2015

SOMO KUTOKA KWA MCHUNGAJI MDOLIGO WEWE NA UWEZO WA YESU.


luka 7:11-17
 Baadaye kidogo alikwenda mpaka mji mmoja uitwao Naini, na wanafunzi wake walifuatana naye pamoja na mkutano mkubwa. 
12 Na alipolikaribia lango la mji, hapo palikuwa na maiti anachukuliwa nje, ni mwana pekee wa mamaye ambaye ni mjane, na watu wa mjini wengi walikuwa pamoja naye. 
13 Bwana alipomwona alimwonea huruma, akamwambia, Usilie. 
14 Akakaribia, akaligusa jeneza; wale waliokuwa wakilichukua wakasimama. Akasema, Kijana, nakuambia, Inuka. 
15 Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake. 
16 Hofu ikawashika wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Nabii mkuu ametokea kwetu; na, Mungu amewaangalia watu wake. 
17 Habari hii yake ikaenea katika Uyahudi wote, na katika nchi zote za kando kando. 
Uweza ni nini ni nguvu,
Nguvu ni nini
Ni  mamlaka
Yasu aliliachia kanisa mamlaka
MAMLAKA AMA UWEZO INAUWEZO WA KUFANYA KAZI,
Uwepo wa Yesu bado ipo duniani ukiwafungua watu katika minyororo maana dini haimpeleki mtu mbinguni ila ni kumpokea Yesu kama bwana na Mwokozi wa maisha yako.
Yesu yupo kluwafungua watu waliofungwa katika mafungo mbalimbali,uwezo wa bwana unajitosheleza kabisa katika kukuokoa wewe na kukuweka huru.
Yesu ni jibu la matatizo yako yanayokukabili
-yale ambayo imeshindikana kwa wanadamu Yesu anatolea ufumbuzi na majibu maana yye anaweza kutenda yote.
YESU ANAPATIKANA NA ANAJUA HATUA ZETU
Yohana 14:
Isaya 1:19
Yesu anajua huzuni zetu
Luka 10:19



 Mchungaji Mdoligo akihubiri madhabahuni.

 Washirika wakifuatilia saomo la wewe na uwezo wa YESU.
Wenye mahitaji mbalimbali wakiombewa madhabahuni na mchungaji Mdoligo katika kanisa la Sayuni TAG Tabata Segerea.
Unaweza kusikiliza mafundisho yake kila jumamosi saa tisa na nusu kupitia masafa ya 98.1 wapo redio FM iliyopo Mtaa wa Loliondo kurasini jijini Dar es salaam,pia unaweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0652130446

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni