Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi mhe. Gibson Meiseyeki ametembelea kijiji cha
Lengijave na Ilkurot katika kata ya olkokola kwa siku mbili kujionea madhara hayo ambayo
yametokana na mvua ziazoendelea kunyesha mkoani humo.
Diwani wa kata ya Olkokola Kalanga Lendulo akiwa na mbunge wa Arumeru Mashariki Gibson Mesiyeki mwenye suti. Mbunge Gibson Mesiyeki akiwa na wananchi wa kijiji cha Ilkurot.
Wakiangalia maeneo ambayo yameharibika.
Walipo watembelea wanachi walioadhirika na mafuriko.
Wananchi wakishirikiana na Mbunge wakitoa jiwe barabarania ambalo limefunga barabara
Mkaazi mmoja ambaye amenaswa na kamera yetu akitoa baadhi ya vitu vyake ndani.
Hivi ndiyo hali inavyoonekana katika baadhi ya maeneo katika kata ya Olkokola mkoani Arusha
Mhe.Meseyieki akinawa mikona kwa maji ya mafuriko katika kijiji cha Ilkurot.
Baadhi ya mifugo iliyokufa kutokana na mafuriko.
Unamaoni gani?pia unaweza kuwasiliana nasi kwa 075283451.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni