Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la
mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 10, 2015.
Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu,Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa,Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana kwa furaha na wanahabari mara baada ya kutangaza baraza lake la
mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na
wanahabari waliofika kumsikiliza wakati akitangaza baraza lake la mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim
Majaliwa. Kushoto kabisa walioketi vitini ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akirejea ofisini baada ya kutangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam leo Desemba 10, 2015.
Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
PICHA NA IKULU,
BARAZA LA
MAWAZIRI
Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na
Utawala Bora.
Mawaziri – George Simbachawene na Angella
Kairuki
Naibu Waziri – Sumeilam Jafo. Naibu.
Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na
Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana,
Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – William Ole Nasha
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani
Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Ashantu Kizachi
Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri – Medalled Karemaligo.
Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Harrison Mwakyembe
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika
Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk. Hussein Mwinyi
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Charles Kitwanga.
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula
Wizara ya Maliasili na Utalii
Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.
Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto
Waziri – Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt. Hamis Kigwangala
Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Anastasia Wambura.
Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof. Makame Mbarawa
Naibu Waziri– Inj. Isack Kamwela
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni