YESU NI JIBU

Jumatatu, 13 Aprili 2015

WATU WALIOBATIZWA NI 31 KATIKA KANISA LA VICTORY CHRISTIAN CENTER ILIYOPO SINZA APRILI 11 2015.



 Nabii Stanford Godson ,
Waumini 31 waefundishwa na kukubali kubatizwa katika ubatizo wa maji mengi ili kuanza maisha mapya katika maisha yao.
Wakizungumza na tovuti hii kwa nyakti tofati tofauti baadhi ya waumini ambao wamebatizwa katika kanisa la Victory Christian Center wamesema kuwa mara baada ya kubatizwa walijisikia vizuri na wengi wao walijazwa na nguvu za Roho Mtakatifu.
 Nabii Godsona katika moja ya ibada ya maombezi katika huduma yake,
Akizungumzia juu ya ubatizo huo mchungaji wa Huduma ya habari njema  nabiii  Stanford Godson   amesema kuwa huduma hiyo inapatikana Majohe kwa Warioba  jijini Dar es Salaam. 
Aidha aliongeza kuwa  idadi ya waumini waliobatizwa ni kubwa tangu huduma hiyo ianzishwe.
Baadhi ya waumini waliofika Victory Christiana Center kwa ajili ya uabtizo wakiwe kwenye foleni ya kubatizwa.
 Zoezi la kuomba ili ubatizo uanze.





Baadhi ya waumini wakiwa ndani ya kisima cha ubatizo zoezi la ubatizo likiendelea.








Baadhi ya matukio ya ibada mbalimbali ambaye nabii Godson huendesha katika huduma yake huko majohe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni