YESU NI JIBU

Jumanne, 14 Aprili 2015

RAIS KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akihutubia wakati wa ibada ya kumsimika kwa askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu  ibada ya kumweka wakfu ilifanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini April 12, 2015.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu.


Rais Dkt. Kikwete akisalimiana na Kadinali Pengo wakati wa ibada ya kuwekwa  wakfu askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ibada  iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini.

Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu akiendesha  ibada ya misa  baada ya  kumweka wakfu.  
Maaskofu wakiwasili katika kanisa la kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini

Masista wakifuatilia kwa makini  ibada ya kumsimika kwa askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu  ibada ya kumweka wakfu ilifanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini.
Picha kwa hisani ya ikulu blog,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni