YESU NI JIBU

Jumatatu, 16 Machi 2015

WWWK WA KANISA LA TAG MABIBO WAADHIMISHA MIAKA 50 YA CHAMA HICHO .


 Askofu Geofray masawe na Mchungaji Oliva na Mzee wa kanisa kiongozi harison Myombe akifuatilia kwa makini ibada ya sherhr ya WWK.

Mchungaji Oliva Massawe akishiriki katika kwaya ya wwk,
Mchungaji Oliva Massawe
Mzee Kiongozi wa kanisa la TAG sahara Mabibo Harison Myombe.


Kwaya ya WWWK wakihudumu madhabahuni.
Mkurugenzi wa WWWK Sahara akiwa katibu wake.











Baadhi ya wanachama na viongozi wakiwa kanisani wakisifu na kufuatilia kwa makini ibada hiyo ya maadhimisho ya miaka 50 ya wwwk ndani ya kanisa la TAG.

Askofu Geofrey Masawe akikabidhiwa zawadi na viongozi wa WWWK.
Mchungaji Oliva Masawe akiwa na mkurugenzi wa WWWK wa kanisa la SAHARA TAG Mabibo.






Viongozi wa WWWK wakiwa picha ya pamoja na wanachama na mch.Masawe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni