YESU NI JIBU

Jumamosi, 14 Machi 2015

JIFUNZE NENO LA MUNGU MAANA NI TAA YA MIGUU YAKO:



1.Kusudi la Mungu kumuumba mwanadamu ni nini
answer kumuabudu,ili kukuza ushirika na kati yake na waaminio zaburi 95:1-6
2.Neno msamaha kwa tafsiri ya kibiblia inaamaana gani?
Answer ni kufuta kosa ama makosa ambayo mtu ametenda,
pia msamaha ni kusahau mambo ya nyuma
mtu ambaye amesamehewa ni kufutiwa kosa lake na halikumbukwi tena
Isaya 43:25;44:22,Ebrania 10:17.

6.Karama ya kupambanua Roho inatolewa kwa lengo Gani?
1.  kutambua chanzo cha miujiza ,ishara na maajabu matendo 8:4-13
2.  Kutambua mawakala wa ibilisi matendo 13:6-12
3.  Kutambua aina ya roho chafu zinazotenda kazi matendo 16:16-18
4.  Kutambua vyanzo vya magonjwa na udhaifu katika miili na nafsi za watu mathayo 12:22-23
5.  Kutambua mafundisho potofu au ya uongo waebrania 1:1-2; 1thethalonike 4:13-17



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni