YESU NI JIBU

Jumanne, 3 Machi 2015

SEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI INAENDELEA NA MWALIMU NI CHRISTOPHER MWAKASEGE.



 Imeelezwa kuwa adui anatumia kiti cha enzi kuwakmisha mafanikio ya mwanadamu katika majukumu anayofanya katika maisha yake ya kila siku jambo linalopelekea kushindwa kufikia malengo yake.
Kauli hiyo imetolewa na mwl Christopher Mwakasege wakati akifundisha katika semi ya siku nane ambayo inaendelea katika viwanjwa vya jangwani jijini Dar es salaam.
Aidha mwal Mwakasege akifafanua maana hasa ya kiti amesema kuwa kiti ni mamalaka anayppewa mtu katika kufanya jambo fulani katika jamii kabila na hata katika Taifa na akazungumzia juu ya kuwappa haki wale wahitaji.
Hata hiivyo ameongeza kuwa kiti kimegawanyika katika sehemu mbalimbali ambapo amesema kuna mtu anaye kalia kiti cha enzi na kuna kiti cha enzi ,maneno yanayozungumzwa na kiti na yale anyezungumza mtu ambaye amekalia kiti pia vitu vinavyoweza kutoka kwenye kiti cha enzi na yale yanayotoka kwa mtu ambaye amekaa kwenye kiti.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni