YESU NI JIBU

Jumatano, 18 Machi 2015

KARIBU KTK MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YOTE KATIKA HUDUMA YA RGC MIRACLE CENTER.



Mtume Peter Nyaga,
Kung'oa kila pando katika majira na nyakati zako...........
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; .
Mathayo 15:13 Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.
Jeremiah 1:10 Anglia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
Waefeso 6:10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. 12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. .....16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni