YESU NI JIBU

Jumatano, 8 Oktoba 2014

UZINDUZI WA JOHN LISU MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA AMBAYO INAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILE:


Waziri wa nchi,ofisi ya rais mahusiano na uratibu  mhe. Steven Wassira kushoto akiwa na askofu wa jimbo la mashariki kusini askofu Lawrence Kametta  wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Tanzania kwenye Tamasha la uzinduzi wa DVD yake John Lissu.

kushoto ni askofu Laurence Kameta na kulia ni askofu Bruno mwakibolwa mwenyekiti PCPT na pia ni askofu wa jimbo la Temeke EAGTwakifuatilia kwa makini uzinduzi.

Mtume Peter Nyaga wa huduma ya RGC Miracle center katikati akishika kipasa sauti akizungumza katika uzinduzi huo na kulia ni Mhe Steven Wassira kushoto anayeshika kipasa sauti ya TBC ni bwana Alex Msama NA anayefuata ni askofu Kameta.

Askofu Kameta kushoto katikati ni mchungaji wa masuala ya uimbaji katika kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church Paul Safari na kulia ni mtume Peter Nyaga.

Waziri wa nchi,ofisi ya rais mahusiano na uratibu mhe Steven Wasira akizungumza kwenye uzinduzi akiwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa tamasha la Mwimbaji John Lissu.

Askofu Kameta akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye ni waziri Wassira kulia.

Askofu Kameta na katikati ni Paul Safari na kulia ni Bwana Alex Msama.

mwimbaji JOhn LIsu akisalimiana na Mheshimiwa Steven Wassira.

John Lisu Akisalimiana na askofu Mwakibolwa.

Viongozi mbalimbali wa dini na wa kiserikali wakisikiliza kwa makini askofu Kameta akisoma risala



Mhe waziri Wassira akizindua DVD ya John Lissu.


John Lissu akiimba na timu yake katika uzinduzi wa DVD yake.





Baadhi ya watu waliohudhuria katika uzinduzi wa DVD ya John Lissu katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni