YESU NI JIBU

Jumanne, 28 Oktoba 2014

UZINDUZI WA ALBUMU YA YU MWEMA YAKE MWIMBAJI IBRAHIMU SANGA KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA LANDMARK JIJINI DAR ES SALAAM:

Uzinduzi wa albamu ya mwimbaji wa nyimbo za injili Ibrahimu Sanga Imefana sana kiasi kwamba waliofika akiongozwa na mgeni rasmi wamechangia katika huduma ya mwimbaji huyo huku waimbaji wenzake wa injili wakimsindikiza katika uzinduzi huo.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Naibu waziri wa fedha mbunge mheshimiwa Mwigulu Nchemba ambaye amewaongoza mamia ya watu walofika kitiaa uzinduzi huo hivi karibuni katika ukumbi wa hoteli ya Landmark iliyopo Ubungo jijini la Dar es salaam.

 
Naibu waziri wa fedha mheshimiwa Mwigulu Nchemba mwenye suti nyeusi kushoto akisalimiana na mwimbaji Ibrahimu Sanga kulia mwenye skafu ya bendera ya taifa ni mwimbaji Joshua Makondeko.



 Hapo sasa mwimbaji Ibrahimu Sanga na Timu yake wakiwajibika jukwaani wakati wa uzinduzi wa albamu yake Yu ni mwema  ndani ya ukumbi wa Landmark.

Mwimbaji Bitres Mwaipaja hakuwa nyuma katika kutumbuiza kwa wimbo wake maarufu kama KUMBE NI KWA NEEEMA TU.
Upendo nkone akiwa kwenye pozii huku Mess Jacob Chengula akitabasamu.
waimbaji akiongozwa na Upendo Nkone wakitazama kwa makini jukwaani kuangalia kinachoendelea.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni