Ndugu msomaji wa blog hii leo tunaangazia katika mkutano wa injili ambao umefanika kuko Ifakara Morogoro ulioendeshwa na Daktari Mtume Dustani Maboya wa kanisa la Calvary Assemblie ambapo wananchi wa mji wa Ifakara wanasema haijawahii tokea maelfu na maelfu kufika katika viwanjani kusikiliza neno la Mungu na kumpokea Yesu kama bwana na Mwokzi wa maisha yao huku wengine wakiponywa magonjwa na kufunguliwa katiaka nguvu za giza na mateso mbalimbali.
DR mtume Maboya akihubiri neno katika mkutano huo wa injili.
Mamia ya wagonjwa walifika kufunguliwa na ililazimu
kuwepo na ibada tatu kwa siku toka watumishi wa Mungu walipowasili Ifakala,hapa zoezi la maombezi limeanza.
Dr Mtume Maboya akiimba jukwaani na mwimbaji wa nyimbo za injili Mess Jacob Chengula akiwa na waimbaji wenzake.
Mess Chengula akimiliki jukwaa kwa makini na kibao cha wimbo wake maaru kwa jina Mungu wetu Habadiliki.
YESU afanya makuu katika mkutano wa
Mtume Maboya ifakala ambapo watu waliomkubali Bwana Yesu kama bwana na Mwokozi wa maisha yao kun'gania wabatize wenyewe ambapo mtumishi wa Mungu alilazimika kuingia Mto
kilombelo na kuwabatiza mamia ya watu.
Zoezi la kubatiza ndani ya mto Kilombero Dr.apostel Dustani Maboya akianza kuwabatiza watu walioamua kubatizwa kama unavyooona msomaji.
Toa maoni yako.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni