Bi Vogel-Couple kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza.
Ama kweli dunia inakoelekea ni utata
mtupu kwani mambo mengi yanaibuka ya aibu na mengina ya kushangaza,huku wengine
wakishangilia na kufurahia kana kwamba ni mambo mazuri.
Hapa sasa fuatilia mwenyewe kwa
umakini kikongwe ambaye ameamua kuweka bayana biashara yake ya ukahaba sasa je
kwa muda wote alikuwa anafanya nini huku akijisifia kuwa yeye anaweza kazi yake
hiyo kwa ufasaha,utashangaa kwa umri wake ila kila mtu awe makini na kumtafuta MUNGU kwa
bidii na juhudi.
Katika Umri wa miaka 85, Sheila
Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado
anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake.
Miaka minne baada ya kifo cha mume
wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni
ukiwa anaosema ndio sababu ya kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.
Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha
wateja angalu 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza
kufikiria.
Akizungumza kuhusu wateja wake wa
kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu
nina mvuto sana."
Bi Vogel -Couple anasema
anaamini bado anamvuto.
Akiwa amevalia sketi fupi (kimini)
na viatu vyenye kisigino kirefu, Vogel-Coupe alijisifu na kujivunia kwamba bado
anaweza kutengeneza pesa kutoka chumbani kwake.
Akielezea kwa nini ameamua kuifanya
kazi hiyo, alisema: " Sababu ya muhimu zaidi ni kwamba napenda ngono. Hata
kuifikiria tu inanifanya nijihisi vizuri''
Kwa mujibu wa gazeti la Daily
Mirror, Sheila atakuwa kwenye makala maalum yanayoangazia wanawake wakongwe
makahaba 'My Granny the Escort'.
Onyesho hilo litaangazia pia
wanawake watatu makahaba walio vikongwe zaidi nchini Uingereza.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni