YESU NI JIBU

Jumanne, 1 Septemba 2015

UZINDUZI WA VITABU VITATU KWA PAMOJA AMBAYO "MJUE MWANAMKE, USIIPE HOFU NAFASI NA RAFIKI ANAYEKUFAA, VILIVYOANDIKWA NA MWALIMU LILIAN NDEGI.

Uzinduzi wa vitabi vitatu ambavyo vimeandikwa na mwalimu lilian Ndegi ambaye ni mke wa mchungaji kiongozi wa kanisa la Living water makuti lililopo Kawe jijini Dar es salaam.
hivi ndivyo vitabu ambavyo ameandika mwalimu Lilian Ndegi.
Uzinduzi huo umefanyika katika kanisa la  Living Water Center Makuti Kawe, tarehe 30/08/2015 katika Ibada maalum ambayo imeongozwa na Apostle Onesmo Ndegi, 
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mheshimiwa Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. 



Mkuu wa wilaya mhe. Paul Makonda akijiandaa kuzindua vitabu vilivyoandikwa na mwl Lialian.





Uzinduzi tayari umefanywa na mkuu wa wilaya.

Awali mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiwasili katika kanisa la Living water Kawe.
Mwl Lilian Ndegi akikata keki tayari kuwalisha watu waliohudhuria katika uzinduzi wa vitabu ambavyo ameviandika.


Mwl Lilian Ndegi akimlisha mkuu wa wilaya ya Kinondoni keki.



Mtume Onesmo Ndegi akimlisha mke wake mwl Lilian keki.








Mwimbaji wa nyimbo za Injili Upendo Nkone akiimba katika uzinduzi huo.


 Waumini ambao wamehuduria katika uzinduzi wa vitabu vya mwl Lilian.























Hakuna maoni :

Chapisha Maoni