YESU NI JIBU

Jumanne, 15 Septemba 2015

MANENO YA SHIKRANI KWA MTUMISHI WA MUNGU ENCY JACKSON MWALUKASA BAADA YA KUFIKA SIKU YA KUKUMBUKA KUZALIWA KWAKE.

 "Zaburi 92:1 ni neno jema kumshukuru bwana nà kuliimbia jina lake takatifu"aliyenisaidia nà kuniruhusu nifikie birthday yangu mwaka 2015 sept 15. Asante mungu kunilinda na kunitia nguvu na faraja hadi kufikia leo .katika miaka 30 ya kukutumikia .
Nawashukuru wote familia yangu ndugu marafiki na watumishi mlionisaidia 1: kumwimbia mungu vema 2: kuhubiri injili 3:kufundisha neno 4: kufundisha sifa nà kuabudu 5: kuhamasisha wanawake wainuke 6: kusaidia watoto yatima , vijana kiuchumi na wagonjwa. 7:kusaidia wachungaji kufungua makanisa nà kuyàjenga ktk imani 8: umisheni kwa mataifa 9: na kuchungà kondoo wa kanisa la lactan. 10. Kuwa mke mwema na mama wa watoto. Si kwa nguvu za kibinadamu ni kwa roho wa bwana nasema mungu ni ebeneza.

Hili ndilo ombi lake kwa mungu"Nàomba Mungu anisaidie kuingojea na Ile ndoto awamu ya pili ambayo imenigharimu kufa kwa muda na kupoteza yote ili nije nipate ya utukufu baadaye ninaomba nimalize wito wangu kwa ushindi". 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni