YESU NI JIBU

Ijumaa, 5 Septemba 2014

SIKU SITA ZA UNABII,USHUHUDA,UREJESHO NA UKOMBOZI NDANI YA HOUSE OF PRAYER CENTRE:


Ile semina uliosubiri muda wote siku 6 za urejesho,ukombozi na unabii unaanza leo mpaka jpili saa9 hadi 12:30 jioni
jpili ibada ya kwanza ni saa2:30-7 mchana.
Wahubiri
bishop david mwasota (katibu mkuu wa makanisa ya kipentekosti Tanzania(CPCT)
Apostle Gano Mwakisambwe
bishop Samwel Jombo ( Mchungaji Samwel Jombo )
na wengine
waimbaji wengi watakuwepo kuanzia saa8 usikose
tupo Tabata Ugombolwa
panda bus ya T/Segerea shuka sanene njoo hadi kituo cha polisi jamii kisha mtaa unaofuata mkono wa kushoto utaona kanisa.

 Huyu ndiye apostle Patrick Kayimbi Emanuel akiwa katika hali ya kutafakari jambo.



Man of God Bishop Samuel Jombo Mchungaji Samwel 

Jombo akijiandaa kwa ajili ya kusimama kufundisha neno la MUNGU ndani ya huduma ya nyumba ya Maombi Tabata Ugombolwa.







Mtumishi wa Mungu  Apostle Gano Mwakisambwe akiwasha moto wa injili ndani ya House of Prayer ambapo watu wenye mahitaji na matatizo mbalimbali walifunguliwa na kuwekwa huru.




Huyu ni mmoja wa watu waliofika katika huduma hiyo na walipokea miujiza yao kwa kufunguliwa na kuwekwa huru.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni