1.Sadaka nini nini?
Jibu Ni aina ya
uwekezaji katika ufalme wa MUNGU wenye kuleta faida duniani na mbinguni.
2.Kuna aina ngazi za
sadaka nazozifahamu zitaje?
Jibu:kuna aina nyingi za
sadaka ila aina nne muhimu
a) Zaka
mwanzo 28:22b
b) Malimbuko
c) Dhahabu
na
d) Nadhiri
3.Ni sadaka ipi ni
lazima kutoa na siyo hiari
Jibu ni zaka/fungu la
kumi (Nehemia 13:12)
4.Tunda la Roho
Mtakatifu limegawanyika katika mafungu matatu.
a)
Fungu la kwanza
· Upendo (warumi 5:5)
· Furaha
; (wafilipi 4:4)na
· Amani
(warumi 5:1,waebrania 12:14)
b)
Fungu la pili
·
Uvumilivu;
·
Utu wema;na
·
Furaha. Wagatia 6:10
c)
Fungu la tatu
· Uaminifu;
· Upole;
na
· Kiasi.
(Warumi 8:8,112:1-2)
5.Mfalme
wa Babeli aliagiza mkuu wa matoashi wake
awateuwe vijana watakaosimama mbele ya jumba la mfalme walishwe na kutunzwa kwa
muda wa miaka mitatu lakini walikuwepo baadhi ya wana wa Yuda wataje hao wana wa yuda?
Jibu;Mkuu wa matoasshi
aliwabadilishia majina
I.
Daniael alimwita Belteshaza
II.
Hanania =Shedraka
III.
Mishaeli na;Meshaki
IV.
Azaria =Abednego Daniel1:1-10
6.Yona alitumwa na
MUNGU kwenda kuwahubiria watu wa ninawi kuacha njia zao mbaya na kutenda mema
na kumtii Mungu bada ya kutenda uovu sana machoni pa MUNGU;baada ya Yona kufika
katika nchi hiyo alizungumza maneno sita tuu ni maneno gani hayo na
yanapatikana katika kitabu gani?
Jibu,Yona 3:4 Baada ya
siku arobani Ninawi utaangamizwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni