YESU NI JIBU

Jumatatu, 8 Septemba 2014

BWANA YESU ATIKISA KIBAMBA KWA KUMTUMIA MTUME PETER NYAGA



Mtume Peter Nyaga ambaye ni moja wa viongozi wa huduma ya RGC Tabata Chang'ombe ametikisa Kibamba kwa jina la Yesu na watu wengi wampokea Bwana Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.
Mkutano kama huo haijawahi kufanyika katika maeneo ya kibamba na sasa Yesu amewatendea maajabu watu wengi walifunguliwa kutoka katika nguvu za giza na waliokuwa wanasumbuliwa na magonjwa mbaalimbali wamewekwa huru.
 Mtume Peter nyaga mara baada ya kuhubiri akaanza kuombea makutano nwaaliokusanyika kwa pamoja ili kusikiliza neno la la Mungu.
 Mtume Nyaga akiwaongoza mkutano katika sala.
 Huduma ya maombi na maombezi yakiendelea na hapa mtume akishuka kuwaombea watu.

Hivyi ndivyo makutano walivyokuwa wakiinua mikono yao juu kumwomba Mungu akutane nao katika maisha yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni