YESU NI JIBU

Jumamosi, 1 Februari 2014

KANISA LA RGC MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE WAHAMISHIA MAJEMBE KULE MALAMBA MAWILI

Neno la MUNGU linahubiriwa kila kona ili kuhakikisha kuwa kila mtu anasikia neno la MUNGU ambalo hufungua na kuwaponya watu wenye matatizo mbalimbali.
Katika viwanja vya kanisa la ,Uzima katika neno inayongozwa na mtume Moses Kingu moto wa roho Mtakatifu umewashwa na mitume wawili mwenyeji na mgeni Peter Nyaga.
Mkutano huo ni wa siku nne wa kuhubiri neno,kuwaombea watu wenye mahitaji mbalimbali ambapo pia wale ambao walikuwa hawajapata watoto katika ndoa yao.



Hapa mtume Petr Nyaga akihubiri na kuwaombea watu wenye mahitaji na matatizo mbalimbali akishirikiana na mtume Moses Kingu ambaye hayupo pichani.






Watu waliofika kwenye mkutano wakifuatilia kwa makini neni la MUNGU.
















wakiwa katika hali ya maombi na maombezi.




Huyu jamaa ambaye ameandika katika suti yake kuwa ni badozi wa kristo 2korintho 5.20.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni