YESU NI JIBU

Alhamisi, 6 Februari 2014

AJABU NA KWELI KWA MARA YA KWANZA NDOA YAGUNGWA KATI YA MWANADAMU NA MNYAMA(MBWA)JE? TUNAELEKEA UKINGONI AMA.

Ukubali ukatae hali ni tete duniani kuashiria kuwa hali ya mwisho wa dunia umekaribia kama ilivyotabiriwa,kwani mpaka sasa kila kona ya dunia kunatokea vitu vya kushangaza na mengine ni ya aibu tena kwa anayesoma na kusikia inakuwa vigumu kuelewa na kukubali ila pamoja na hayo kuna hali ya kukubaliana nayo.
Mwishoni mwa mwaka jana tuliweza kusikia na kuandika juu ya nabii wa taifa la afrika ya kusini kuwalisha waumini wake nyasi na kuwaombea kwa kuwakanyaga sasa imetokea tena nyingine mara baada ya mwanamme ambaye alijulikana kwa jina la Paul Horner wa huko San Francisco kuamua kufunga ndoa na mbwa wake.
Hii inaonekana kuwa ni ndoa ya kwanza ya kushangaza kati ya mwanadamu na mnyama kitu ambacho kimekatazwa kwenye vitabu vitakatifu,inasikitisha wanadamu tunaelekea wapi? kwa sasa kitabu cha walawi 18:23 inasema kuwa wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye ni uchafuko,pia kitabu kumbukumbu la torati 27:21 na walawi 20:15-16 sasa kama MUNGU alikataza na kusema ni uchafuko na amri ni kuuwawa kwa atakayefanya hivyo sasa tunaelekea wapi ndugu zangu wanadamu.
sasa endelea kufuatilia nawe utoe maoni yako tunaelekea wapi,

California Allows First-Ever State Recognized Human-Animal Marriage ... NationalReport

San Francisco, CA — On Monday history was made at the Chapel of Our Lady at the Presidio in San Francisco as the first-ever state recognized human-animal marriage took place.
Local resident 35-year-old Paul Horner was the groom during the ceremony. Joining him was his faithful dog Mac who is 36-years-old in dog years. Mac also decided to be the groom but ended up wearing a white veil at the last moment.

Father McHale who officiated the outdoor wedding told reporters he was extremely happy to be a part of this joyous moment of life. “This is the definition of true love my friends. There is nothing more sacred than the bond between a man and his faithful dog,” McHale said. “Now, since it is recognized as a legally binding marriage in the state of California, Mr. Horner and Mac will have all the same tax benefits and everything else coming to them that a regular married couple would receive. It’s a fantastic day to be alive!”

So how could this have happened?
In the book of California’s State Laws and Regulations there is a little known law that was passed as the state was first forming in 1850. According to article 155, paragraph 10, it clearly states:
If a man and a man can get married and a woman and a woman can get married, if ever comes that day, then a human and animal will have the exact same rights to marriage in every eye of the law. God help us if this ever is to happen!
In attendance was Horner’s entire family who flew in from Hawaii to witness the event. Mac had her puppies on hand and making a special celebrity appearance was Alex from Stroh’s and Spuds Mckenzie.
“I just love my Mac so much, I can’t wait till we can finally get back to the honeymoon sweet in Montana where bestiality is legal. Gosh, get with the times California! We can marry here just fine, but love making is a big no-no,” said Horner. “People keep asking me why I wanted to marry a dog. I told them I just want the same god given rights that every person in California is allowed to have. Don’t tell me I can’t marry my dog. I don’t tell you that you can’t marry a 500 lb woman with gas issues. That’s your decision. Don’t tread on me. I love my dog and I know he loves me a hundred times more than any gay wedding out there.”
With this wedding between a man and a male dog now on the books, one can only ask what is in store next?
A man marrying a toaster? A toaster marrying a dog? A toaster marrying a toaster?
 imewekwa kwenye FB

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni