YESU NI JIBU

Alhamisi, 20 Februari 2014

TUNAELEKEA WAPI? WANADAMU KWA KUNA MATUKIO YA AJABU YANAJITOKEZA HAPA NA PALE,HUKO VIRGINIA KUANZISHWA KANISA LA KUABUDU BILA NGUO,JE NI ULE MWISHO UMEKARIBIA AU LA.


Hii ni ajabu tena ya kushangaza kuanzishwa kwa kanisa la kuabudu wakiwa uchu,hii imetokea huko Virginia ambapo huduma inafahamika kwa jina la Virginia Evangelical Church the White Tail  Chapel ambapo waumini ama kusanyiko huambiwa wamtumikie Bwana kama Mungu alivyo waumba wao kwa kuabudu uchi,bila kuvaa nguo.
Huduma hii imeanzishwa kusini ya  Virginia ambao kanisa husema kila muumini anapotaka kuanza kuabudu sharti avue nguo zake zote wakati wa kuabudu.
White Tail inajitangaza ama kujkitambua kuwa ni familia ya jamii ya kutokuvaa nguo ambapo wageni wao wanweza kushiriki ibada mbalimbali wakiwa na mavazi yao ama uchi(nude).
Akizungumzia ibada hiyo ya kuabudu uchi mchungaji Allen Parker alisema kuwa katika shughuli muhimu iliyomtokea YESU ilimkuta akiwa uchi,hivyo kanisa limefungasha ndoa ya wawili wakiwa uchi ambao ni Katie na Robert kanisa lilisherekea wakiwa uchi.
Mchungaji Parker aliisema kuwa YESU alipozaliwa alikuwa uchi, aliposubishwa msalabania alikuwa pia uchi na alipofufuka aliacha nguo zake kaburini hivyo alikuwa uchi.kama Mungu alituumba hivyo,itakuwaje mbaya kukaa uchi? 
"kutokana na kibali hii ambayo Mungu amenipa na waswhirika wetu wanaikubali,kuelewa tena kwa undugu kifamilia hakuna tatizo.tutakuwa na makanisa yetu ya namna hii kila sehemu na kuwa kinyume na makanisa mengine yote"alisema mchungaji Parker.
Hata hivyo kanisa la Robert pia linaamini watu kuoana wakiwa uchi,akisema White Tail Chapel wakati mwingine hujifanyiza uongo ama udanganyifu kama sehemu ya ibada(pretence).
Aliongeza kuwa utupu ni usawa mkubwa kama inavyokuwa vigumu kumhukumu mtu mwenye nguo kuwa kwanini hujavaa hata nguo. 
kwa isani ya mtandao wa www.nigerianwatch.com/news

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni