YESU NI JIBU

Alhamisi, 6 Februari 2014

KONGAMANO LA KIMATAIFA KUOMBEA TAIFA NA UCHAGUZI 2014 MWAKA WA USHUHUDA


Kongamano kubwa na kuombea taifa amani wakati wa kuelekea uchanguzi mkuu.
Huyu ndiye Apostle P.K.E wa kanisa ya House of Prayer Center ambaye amesema kuwa ujumbe wa mwaka huu ni mwaka wa ushuhuda

Kongamano hilo limeandaliwa na Apostle Patrick Kayimbi Emmanuel a.k.a PKE wa kanisa la house of Prayer Center (H.P.C) kwaa lengo la kulipeleka taifa la Tanzania mbele za MUNGU kama kitabu cha 2 nyakati 7:14 inavyosema kuwa, ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha,na kuomba,na kunitafuta uso, na kuacha njia zao mbaya, basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuponya nchi yao.Akizungumzia  kongamano hilo la kimataifa nabii PKE alisema kuwa wameandaa kongamano hilo na kuwashirikisaha maaskofu wachungaji,mitume na manabii pamoja na waumini wote kuungana pamoja kuombea taifa.
Hata hivyo ameongeza kuwa amewashirikisha na kuwaalika viongozi wa kiserikali na wanasiasa wa vyama mbalimbali kushiriki kwa pamoja bila kujali itikadi za dini na  madhehebu kwani kusudi kubwa ni kuombea taifa na uchaguzi.
Hata hivyo Apostle PKE alisema kuwa amewaalika wahubiri mbalimbali wa kimataifa na kitaifa kushiriki na kuhudumu katika kongamano hilo la siku kumi na tano ambalo linaanza tarehe 16 feb hadi tarehe 2 march,na kuongeza kuwa watumishi hao wanatokea Canada, Nairobi Kenya,Zambia,Namibia na hapa Tanzania. 
Aliongeza kuwa tarehe 22 feb itakuwa ni siku maalum ya kukutanika watu wote na viongozi mbalimbali wa dini na siasa kuungana kwa pamoja na kufanya maombi na maombezi,kama iliandikwa katika kitabu cha isaya 41:7 ambayo inasema kuwa seremala akamtia moyo mfua dhahabu,na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe,akiisifu kazi ya kuunga,akisema,Ni kazi njema,naye akaikaza kwa misumari isitikisike.
Pamoja na hayo yote kutakuwepo na kitambaa,T shirt na bendera zitapatikana kwenye kongamano kwa shilingi 15000 kongamano ni bure hakuna kiingilio 
 JINSI YA KUFIKA, PANDA BUS YA TABATA SEGEREA SHUKA KATIKA   KITUO CHA SANENE KISHA NJOO HADI KITUO CHA POLISI JAMII KISHA INGIA MTAA UNAOFUATA MKONO WAKO WA KUSHOTO UTAONA KANISA. MAWASILIANO 0713075013 AU 0766780580 KARIBUNI

Maoni 1 :

Apostle P.K.E alisema ...

USIKOSE KONGAMANO HILO LA KIMATAIFA LA UKOMBOZI,MIUJIZA NA UNABII PAMOJA NA KUOMBEA NCHI YETU YA TANZANIA KUANZIA JPILI HII TAR.16FEB.HADI JPILI 2 MARCH 2014 .MA BUS YATAKUWEPO KUKULETA NA KUKURUDISHA BURE KABISA.
BUS KUTOKA KARIAKOO KUPITIA VINGUNGUTI HADI KANISANI
2.BUS KUTOKA GMBOTO KUPITIA KINYEREZI HADI KANISANI
3.BUS KUTOKA UBUNGO KUPITIA TABATA RELINI HADI KANISA.
JPILI BUS ITAONDOKA SAA1 ASUBUHI
JTATU HADI JMOSI BUS ITAONDOKA SAA7 MCHANA.
TSHIRT ,FLAG AND HANDKERCHIEF FOR THE BIG CONFERENCE IN HOUSE OF PRAYER CENTRE FROM 16TH FEB. TO 2ND MARCH 2014 ARE SELLING ALL OF IT FOR 10 US DOLLARS OR 15,000 TANZANIAN SHILLINGS

TSHIRT,KITAMBAA NA BENDERA YA KONGAMANO LETU LA KIMATAIFA INAUZWA KWA 15,000 HAPO HOUSE OF PRAYER CENTRE.KONGAMANO NI KUANZIA TAR.16 /FEB HADI TAR.2/MARCH/2014

WAANDISHI WA HABARI WA TV,RADIO NA MAGAZETI WANAKARIBISHWA IJUMAA SAA 4 ASUBUHI KWA MAJADILIANO HAPO KANISANI.
TUPO TABATA UGOMBOLWA KITUO CHA SANENE MTAA WA KWANZA BAADA YA POLISI JAMII.
MWALIKO MAALUUM KWA WACHUNGAJI NA WAHESHIMIWA INAPATIKANA OFISI KWA SECRETARY HAPO KANISANI KILA SIKU KUANZIA SAA2 ASUBUHI
TAARIFU NA WENGINE.WOTE MNAKARIBISHWA

CONTACT +255766780580 / +255713075013
SHALOOM

Chapisha Maoni